Tulonge

Kutoka BBC

Waasi wauteka tena mji wa Bentiu

Wapiganaji S.Kusini wanasema wameudhibiti upya mji wa Bentiu, na wametoa makataa kwa makampuni kusitisha uchimbaji wa mafuta.

 

Members

Latest Activity

Jeath Justin Prosper posted a photo
Sunday
Jorge Novati Rutenge posted a status
"Siku mingi sana sijaingia kwenye kijiji hiki, mpaka password nilikuwa nimeisahau. SALAMA HApA!!?"
Sunday
Hellen Attarsingh Gupta replied to Hellen Attarsingh Gupta's discussion Manufaa za kimimina cha Vemma Mangosteen. in the group TANGAZA BIASHARA YAKO BUREEE!!
"Napatikana kwa namba hizi: 0713 520106 au 0754 264906 au 0787 264906 au 0774 520106. Karibuni sana.…"
Friday
Jeath Justin Prosper commented on Tulonge's blog post Waganga wa siku hizi wapo wazi kabisa
"nahisi pia ni kwa saababu wanalipia maangazo kwa jiji....sidhani kama wanabandika bure. Watakua…"
Friday

Blog Posts

Wadau wa tulonge wafunga pingu za maisha

Posted by Tulonge on March 22, 2014 at 11:26 26 Comments

Tarehe 1 machi 2014 ilikua ni siku ya furaha kwa Bw. Deogratious Kimbila na Bi. Mary Mkumbo na familia zao kwa ujumla pale walipoamua kufunga pingu za maisha huko Berlin, Ujerumani. Tulonge inawapongeza wadau hawa kwa kufikia hatua hiyo na inawatakia maisha mema.

Sasa nadhani wale vidume tuliokua tunamtolea…

Continue

Mtu mmoja afariki Dunia, 38 wajeruhiwa katika ajali eneo la Bwawani

Posted by Tulonge on March 7, 2014 at 1:59 0 Comments

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 kujeruhiwa, kati yao 14 vibaya, baada ya magari matatu waliyokuwa wakisafiria, kugongana, mawili uso kwa uso, huku jingine likijaribu kukwepa ajali, katika eneo la Bwawani, barabara kuu ya Morogoro-Dar es saalam, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

ITV imefika eneo la…

Continue

Mtu mmoja afariki dunia, 38 wajeruhiwa baada ya basi kugonga kichwa cha treni

Posted by Tulonge on February 28, 2014 at 22:45 3 Comments

Mtu moja amefariki duni na wengine 38 wamejeruhiwa baada ya basi la Bunda kugonga kichwa cha treni katika makutano ya reli na barabara wilayani Manyoni.

 

Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo imehusisha basi la Bunda lenye usajili wa namba T 782 BKZ lililokuwa likitokea mkoani Dodoma na kuelekea…

Continue

Mambo yameanza Uganda: Benki ya Dunia 'yaibania' msaada wa dola milioni 90

Posted by Tulonge on February 28, 2014 at 22:33 6 Comments

Wafadhili wakatiza misaada UgandaBenki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.

Benki hiyo imesema kuwa inataka…

Continue

Mapacha waliotenganishwa warejea

Posted by Tulonge on February 20, 2014 at 23:52 3 Comments

Watoto Elikana na Eliudi wakiwa wamebebwa na Daktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Glory Joseph (kushoto) na mama yao, Grace Joel baada ya kuwasili jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam wakitokea India kwa matibabu.Picha na Salim…

Continue

Maandishi juu ya vest ya Diamond yawa sababu ya kufungiwa kwa video ya Dully Sykes

Posted by Tulonge on February 20, 2014 at 23:30 1 Comment

Mnamo oktoba 19,2013 ilitoka habari hapa tulonge ya kutoridhishwa na maandishi juu ya 'vest' ya msanii Diamond ambayo aliivaa kwenye video ya 'Kabinti Special' ya Dully Sykes. Maandishi hayo yalisomeka…

Continue

Ajali ya lori la mafuta mlima Sekenke Singida

Posted by Tulonge on February 19, 2014 at 17:26 1 Comment

Ajali hii iliripotiwa na mdau wa mtandao wa facebook kama ifuatavyo:- "Hii ajali ni mbaya jaman imetokea muda si mrefu kwenye mlima Wa sekenke Lori la mafuta limeanguka na kuua watu wa nne. Hicho cheus kinachofuka moshi ni mwili wa dada mmoja alieomba lifti"…

Continue

Mwanamuziki Lady Jaydee aanza kufanya mazoezi ya Karate

Posted by Tulonge on February 19, 2014 at 6:30 5 Comments

Msanii maarufu wa Muziki Tanzania Judith Wambura 'Lady JayDee' ameanza rasmi kujifua na Karate ili kuweka mwili 'fit' na kujijengea ulinzi binafsi. Mwanadada huyu ambaye pia hujiita 'Komando' aliweka picha zikimuonesha akifanya mazoezi kwenye ukurasa wake wa facebook.…

Continue

Waganga wa siku hizi wapo wazi kabisa

Posted by Tulonge on February 17, 2014 at 12:49 11 Comments

Hili ni bango linalomnadi mganga mwenye uwezo wa kumpatia mtu hela za majini lililopo eneo la Sinza Mori. Siku za nyuma ilikuwa ni vigumu sana kukutana na mabango ya aina hii. Mambo ya kutafuta hela za majini ilikua ni siri. Ila kwa sasa ni wazi…

Continue

Mbunge Ndungulile aanika siri mpya za matumizi ya madawa ya kulevya kwa watoto wadogo

Posted by Tulonge on February 17, 2014 at 8:34 0 Comments

Mgeni rasmi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kigamboni Ndugu Faustine Ndungulile akifungua rasmi Baraza la kazi la UVCCM (W) Temeke mbele ya Wajumbe (hawapo pichani) lililofanyika kwenye ukumbi wa Malaika uliopo Kata ya vijibweni, Jimbo la Kigamboni. Picha na Emmanuel J. Shilatu…

Continue

Chat

Active Conversations

Disconnected

  Disconnected

  You are disconnected from chat. Connect to join the chat.

  Suspended From Chat

  Sign up to chat on Tulonge.

  Sign Up

   
   
   

  Nguvu ile ile itumikayo kuchangia HARUSI tuitumie na huku kwa watoto yatima.
  MAONI

  Photos

  Loading…
  • Add Photos
  • View All

  BLOGs NYINGINE

  Forum

  JAMES LEMBELI KWENYE KASHFA NZITO YA MAHUSIANO NA MWANAFUNZI!!!!

  Started by Zainabu Hamis in JAMII. Last reply by Ramadhan Ahmard on Thursday. 6 Replies

  NATAMANI NINGEZALIWA ENZI ZA YESU KRISTU!

  Started by CHA the Omniscient in JAMII. Last reply by CHA the Omniscient Jan 27. 12 Replies

  ROLE OF THE HUSBAND IN THE BIBLE (COPY AND PASTE VERSION)

  Started by CHA the Omniscient in JAMII. Last reply by Zainabu Hamis Jan 25. 6 Replies

  Unamkumbuka Mujydebubyz?

  Started by Robert Mujuni in JAMII. Last reply by Robert Mujuni Jan 12. 10 Replies

  Tatizo la Afya

  Started by Robert Mujuni in AFYA Jan 2. 0 Replies

  Upinzani kwenye Biashara ya Utalii.

  Started by Hellen Attarsingh Gupta in JAMII. Last reply by CHA the Omniscient Dec 30, 2013. 10 Replies

  JICHUNGUZE

  Started by Robert Mujuni in JAMII Dec 24, 2013. 0 Replies

  Meal Replacement Therapy

  Started by Robert Mujuni in JAMII Dec 24, 2013. 0 Replies

  FAIDA YA KAHAWA HIZI

  Started by Robert Mujuni in JAMII Dec 24, 2013. 0 Replies

  FAIDA YA KAHAWA YA RED YEAST

  Started by Robert Mujuni in JAMII Dec 24, 2013. 0 Replies

  Faida za kahawa ya Ginseng

  Started by Robert Mujuni in JAMII Dec 24, 2013. 0 Replies

  © 2014   Created by Tulonge.

  Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

  /* /*