Mapenzi ni moja kati ya mambo yaliyo tawala sana katika ulimwengu huu kwa sasa. Hatuna budi kuchukua nafasi hii ili tuweze kubadilishana mawazo kuhusu mapenzi.
Members: 69
Latest Activity: yesterday
Started by Tulonge. Last reply by Christer yesterday. 2 Replies 0 Likes
Kuna tofauti kubwa ya kimaamuzi kati ya mwanaume na mwanamke kwenye suala la kuachana.Inaelezwa kwamba, wanaume ni rahisi kwao kuamua ndani ya dakika moja na kutangaza kuvunja uhusiano, lakini kwa wanawake maamuzi yao mara nyingi hutanguliwa na…Continue
Started by Moreen. Last reply by Bonielly May 16. 2 Replies 0 Likes
Hahaahhhaaaaa dada alidhani jamaa kasimamisha mtalimbo kwa ajili yake. Baada ya kufunua shuka hakuamini macho yake. Kweli ukizaniacho ndicho sicho…Continue
Started by Christer. Last reply by Tulonge May 16. 6 Replies 2 Likes
Kutoka mbegu za kiume muda mfupi baada ya kumwingilia mwanamke huitwa premature ejaculation. Huu ni udhaifu wa kawaida kwa wanaume walio wengi kwa ujumla wake, ikiwa ni pamoja na vijana. Mtaalamu Ira Sharlip anasema katika utafiti wake kuwa, ni…Continue
Started by Diana. Last reply by KUNAMBI Jr May 15. 3 Replies 0 Likes
Ukifanya research juu ya hili utagundua kuwa wanawake/wasichana wengi wanapenda uume mkubwa kiasi ila usiwe over-size. Mmi huwa naona saizi kubwa kiasi ya uume huongeza utamu zaidi katika tendo la ndoa. Si sawa na kufanya mapenzi na mwanaume mwenye…Continue
Started by Tulonge. Last reply by Christer Mar 5. 8 Replies 1 Like
JAPOKUWA wanawake bado hawajapita wanaume katika suala la kutoka nje ya ndoa,…Continue
Started by Tulonge. Last reply by Geoffrey Masai Mar 3. 4 Replies 1 Like
UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani…Continue
Started by Belita. Last reply by MGAO SIAMINI,P Mar 3. 18 Replies 2 Likes
Kiafya Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima…Continue
Started by Christer. Last reply by Christer Feb 14. 2 Replies 0 Likes
Add a Comment
Comment by mtotomzuri on May 12, 2013 at 20:26 aiseee ngoja kwanza nikamhudumie shemeji wenu nitarudi
Comment by MGAO SIAMINI,P on March 4, 2013 at 13:05 Ahsante sweetie@ christer
Comment by Dixon Kaishozi on March 4, 2013 at 9:14 Hahahaaa Afadhali mimi nimepata wakunipokea mpaka chumbani.. Nakuja @ Christer!!
Comment by Christer on March 4, 2013 at 7:56 Karibuni Mgao, Richard, hahahahahhahaaaa Dixon wangu anataka wa kumpokea, karibu mpaka Sebuleni, jikoni mpaka Chumbani!!!!!!!!
Comment by Geoffrey Masai on March 3, 2013 at 14:44 karibu bwana Mgao jisikie huru na amani kabisa.
Comment by richard makoi on March 3, 2013 at 14:42
Comment by MGAO SIAMINI,P on March 3, 2013 at 11:38 hodiiiiiiii
Comment by Geoffrey Masai on July 31, 2012 at 14:13 mimi hapa ni moja kwa moja hadi ndani manake nikisema hodi masela watanibania, na hivi mi ni handsome boy!
Comment by Tulonge on June 23, 2012 at 20:09 Wewe Kunambi huo mjadala wako uhamishie hapo juu kwenye discussion. Namaanisha "Add Discussion" yake hapo juu kam unavyooa discussions nyingine ili watu wachangie kwa mpangilio mzuri.
Jaman mmemkaribisha Sheikh Kunambi aje awape darasa la mahabat lail,yaani mahabat ya usiku,au mawadat........................naomba niseme aliyenialika hapa namshukuru sana.......sasa naanza na swali kama hamjui sema niwafafanulie, JE MNAJUA MWANAMKE ANA SEHEMU NGAPI ZA KUGUSWA ILI AJISIKIE KAMA YUKO DUNIA NYINGINE???NA JE MNAJUA MWANAMME ANA SEHEMU NGAP ZA KUGUSWA PIA ILI AJISIKIA KUA YUKO DUNIA NYENGINE??? kwa siye wataalam wa mambo haya ndo mana hatupendi kutongoza sana coz najua nikiwa na m girl hatopenda kutoka kwa Kunambi kwa vimbwanga atakavyofanyiwa hah hah hah karibuni......
© 2013 Created by Tulonge.
You need to be a member of MAPENZI to add comments!