Tulonge

Julius Nyaisanga aagwa Morogoro, kesho saa 4 asubuhi ataangwa uwanja wa Leaders Club DSM


Mwili wa aliyekuwa mtangazaji maarufu nchini, Julius Nyaisanga umeagwa rasmi leo mjini Morogoro ukielekea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla nyingine ya kumuaga iliyopangwa kufanyika kesho Jumanne saa nne asubuhi katika uwanja wa Leaders, na baadaye siku hiyo kusafirishwa kwenda Tarime mkoani Mara kwa mazishi.

Views: 167

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on October 27, 2013 at 16:59

RIP Nyaisangah

Comment by habiba mustafa mlawa on October 22, 2013 at 8:07
RIP BRO

© 2016   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* /*