Muhusika mkuu wa ktk movie ya Price of Love Irene Paul, amekanusha kuwa Kanumba alijitabiria kifo chake ndani ya movie hiyo mpya. Irene ameonekana kuwa tofauti kabisa na maelezo ambayo yalitolewa na mhariri wa movie za Kanumba Bw. Zakayo Magulu ambaye aliosema kuwa Kanumba alitabiri kifo chake kupitia movie hiyo.
© 2013 Created by Tulonge.
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge